Kaka Michuz hapa nilipo nipo katikati ya watu kuna mgomo mkubwa sana wawanachuo wote wa Chuo Kikuu cha Dodoma University (UDOM) wakidai kupewa Field work katika vitivo mbalimbali hapa chuo.
Wanafunzi wanadai wamejaribu kuongea na uongozi wa chuo lakini hawaoni maendeleo yoyote hivyo kimeitishwa kikao cha dharula kwa wanachuo wote, na kudai kufanya mgomo kuanzia kesho
bado nasubiri nikipata picha ntazituma!
MDAU UDOM
Wanafunzi wanadai wamejaribu kuongea na uongozi wa chuo lakini hawaoni maendeleo yoyote hivyo kimeitishwa kikao cha dharula kwa wanachuo wote, na kudai kufanya mgomo kuanzia kesho
bado nasubiri nikipata picha ntazituma!
MDAU UDOM
Mgomo uliopo ni wa wanafunzi wanaosoma kwenye College of Humanities and Social Sciences(Chuo cha Sayansi ya Jamii) na sio UDOM yote. chuo cha Elimu(College of Education), College of Hearth Sciences, na College of Informatics na Schools nyingine zote ndani ya UDOM kupo shwari na wanafunzi wanaendelea na masomo kama kawaida.
ReplyDeleteMdau kutoka UDOM
Hawa Vijana wanadhani migomo ni ujanja! Wajifunze kuwa sehemu ya kutoa ufumbuzi wa matatizo yanayo ikabili jamii yetu na sio migomo ya hovyo hovyo.
ReplyDeleteMigomo ndiyo inayodhoofisha elimu ya juu Tanzania. Kuna baadha ya anasiasa wana tumia fursa hiyo kuhamasisha migomo kwa wanafunzi vyuoni, hiyo ni siasa mbovu ambayo hatuitaki nchini.
Vijana wetu wanahitaji kueleweshwa madhara ya migomo vyuoni. Kwa upande wa uongozi wa vyuo na waasa kusikiliza na kujali matatizo ya wanafunzi wetu wa vyuo. Wakati mwingine viongo husika wamekuwa waki dharau na kuonyesha kupuzia concerns za wanafunzi na hivyo kuwaongezea hasira na baadaye kufanya migomo.
Ifike mahali huo utamaduni wa migomo vyuoni utoke kabisa kwa manufaa ya taifa letu.
Mdau wa Elimu, Tanzania.