Ndugu Michuzi; Kupitia mtandao huu wa jamii napenda kuwatangazia watu wote wanaoshiriki katika kanisa la Umoja kuwa ratiba ya Krismas siku ya Jumamosi pamoja na Jumapili baada ya Krismas ni kama ifuatavyo;
Tarehe 12.25.2010 tutakuwa na ibada moja ambayo itaanza saa nne mpaka saa tano asubuhi.
Tarehe 12.26.2010 tutakuwa na ibada moja ambayo itaanza saa 4:30-6:30
Anunai ni:6411 LBJ FREEWAY
DALLAS TX,75240
Simu ni 214 554 7381,682 554 6402,214 773 6697.
Nawatakia Krismas njema.
Pastor Absalom Nasuwa

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...