Home
Unlabelled
Ratiba ya Twanga itavyo Pepeta Xmas na Boxing day
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nyie c mmefiwa nyie, hata inua tanga bado mnawaza pesa??
ReplyDeleteNdugu mikataba ndugu hii ni dunia mpya juzi juzi kocha wa chelsea alifiwa na baba mzazi lakini ilibidi amalize mechi kwanza ndio aende kuzika Wa TZ dunia mpya hiii hakuna misiba ya wiki siku hizi
ReplyDeleteHii sasa ni tamaa,yaani mmetoka kumzika mwenzenu tu, hata wiki haijapita tayari matangazo mpo Mango,Leaders,Tcc nk.Tunajua hiyo ni kazi na labda mna mikataba,lakini hii nayo imezidi,sijui hata kama wanamuziki mtakuwa na feelings au mdadi wa kupiga huo muziki !!!muogopeni mungu mtakuja kupoteza hata hiyo bahati,na mizimu ya binadamu mwenzenu sidhani kama itafurahi,Tamaa mbaya !!Nadhani hili swala ni la kulaumu hasa wamiliki wa bendi,ndio wanao amrisha mambo yote yaendelee na sidhani kama bendi ikipumzika hata wiki mbili tu za maombolezo iatapata hasara kubwa.Huu ni ushauri wa bure na ninatumaini wamiliki wa bendi waatapata salaam hizi.
ReplyDeletemtoa maini Abdallah Sudi,Muscat.