Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani watu wanaogopa video camera ile mbaya, mara wajichekeshe bila sababu mara waangalie pembeni wengine wanajidai wako busy na mobile, kwani mmeambiwa camera inang'ata? si mtu anachukua picha achia tabasamu paana au relax tuu simple sio watu wanajibana wanaomba mchukua picha aende haraka huku mioyo inawadunda lo kazi kweli kweli.... hiyo kitu haing'ati sawa eeh?

    ReplyDelete
  2. Camera ingetakiwa kuwa kwenye fashion show sio watu!! Watu hawaelewi kuwa cha maana hapo ilikuwa fashion sio sura za watu!!

    ReplyDelete
  3. Cameramen anahitaji mafunzo zaidi ya kujua kazi yake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...