Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi kuna mantiki gani kutumia kiingereza? Jibu ni rahisi sana. Halengwi mtu wa Singida. Mlengwa ni nani hasa? Siasa Uchwara hizi. Usibanie haya maoni Michuzi.

    ReplyDelete
  2. Kwakusema Ukweli huyu Kijana ni Mzuri kwa Wananchi Wake wa Singida, yeye ni tajiri na msomi lakini anafanya mambo bora kweli sio FISADI sijui kwanini Kikwete hamfanyi Waziri, katosheka...
    KITU KINANIFANYA NISIMPENDE ZAIDI KUWA YEYE NI SIMBA...

    RonKen -- New York

    ReplyDelete
  3. Watu kama hawa ndio tegemeo kwa Taifa. ya kuleta mabadiliko na changamoto kwa Taifa. ndio wanostaili kushika nyadhfa za uongozi. kwa kuwa anajali na kuwahulumia wanachi wake

    ReplyDelete
  4. Hata kama atatumia lugha ya kinyanturu au kinyiramba bado watu wa Singida hawataweza kuiona kwa sababu hawana internet,huyu kijana ni Obama wa Singida,kudos Dewji!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...