Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mikausho MikaliDecember 02, 2010

    Tunamshukuru sana Joseph Kusaga kwa kuweka usiku huu wa soul train kwa ajili ya wapenzi wa miziki ya zamani kwa kweli usiku wa kwanza ulikuwa mzuri kidogo.ila nina ombi kwa uongozi wa clouds pamoja na yule Mkurugenzi masoko wa hii kampuni maarufu ya simu za mkononi.Huyu Mkurugenzi aelimishwe umaana wa Guest DJ kwani wengi na wale wa enzi zilee wakati Mkurugenzi wa kampuni ya simu akiwa mtoto wa shule ya msingi.aelewe maana ya guest dj dj ni kuwa anakuja na kuperform kwa uhuru wake bila kuingiliwa na yeye au dj wa siku zote.aje hata na collection zake .Huyu mkurugenzi aache kujifanya naye ana mix mix na ku disturb GUEST DJ.kwa kweli last month nilichukia sana kwa jinsi alivyokuwa anambugudhi DJ Richie Dillon yaani inakera aisee.na wasiwasi na kesho aweza rudia yale yale.Kivipi si ashauriwe afungue disco lake basi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...