Ankal,
Ndani ya jiji la New York, USA, wadau wanaenzi taarab asilia kwa vitendo, yaani lugha Kiswahili, violini, accordian,oud n.k , hebu tuwasikilize The Sound of Taarab

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naam, kweli kabisa dada Alsarah toka Sudan 'Nyie Bin-adamu....' , kweli sasa Taarab mpaka Brooklyn, New-York ipo!

    ReplyDelete
  2. your blog is good. visit my blog too

    ReplyDelete
  3. Ssafi sana. Siku tukiiona MTV ndio na sisi tutastuka na kuanza kuiga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...