Violet Sengo na Denis M. Katenga wakila
pozi baada ya kumeremeta jijini Dar
maharusi na wapambe wao wakipozi kwa raha zao
safari ya kwenda mnusoni yaanza
baada ya kumeremeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yaani hakuna mtu anayewafahamu hawa akawapongeza? Haya basi mimi nawapongeza japo siwafahamu. Hongereni. Mlipendeza. Kila la heri katika maisha yenu mapya.

    ReplyDelete
  2. nakupa pongezi sana denis umefanya jambo muhimu katika maisha yako.nakutakia maisha mema wewe na mkeo.mungu awaongoze katika kilajambo.gm usa

    ReplyDelete
  3. mdau ulitakiwa kutoa pongezi tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...