Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kushoto)akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 190 Katibu Mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye,kwa udhamini wa shindano la kombe la Tusker,katikati Makamu Rais wa TFF Athumani Nyamlani.
.Rais wa Cecafa na TFF Leodgar Tenga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa makabidhiano ya shilingi milion 190 kutoka Vodacom Tanzania ambao wameamua kudhamini mashindano ya kombe la Tusker ,katikati Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza,kushoto na Mkurugenzi wa Michezo Bw. Leonard Thadeo.
see what is happening in the other part of tanzania http://gsengo.blogspot.com/2010/12/mkutano-wa-uwekezaji-bonde-la-ziwa.html
ReplyDelete