Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago Marekani akipeana mkono na kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D baada ya kumkabidhi cheti ya kuitimu mafunzo ya ukocha uwanja wa ndani wa Taifa jijini DarKocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu hiyo baada ya kutunukiwa cheti kushoto ni Juma Mwalimu Miwani Emanuel Mgaya na Iddy Ramadhani
Baadhi ya washiriki wa kozi ya ukocha
wa mchezo wa ngumi wakifatilia mafunzo
Picha ya pamoja na mgeni rasmi baada ya hafla hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...