Kituo cha Afya hiki kinachomilikiwa na Taasisi moja ya kidini kilichpo Manispaa ya Morogoro cha kikiwa kimefungwa na kuandikwa maadishi makubwa mwekundu kueleza hivyo baada ya kukaguliwa na Wataalamu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii . Hiki ni kituo kimoja kati ya vinne katika manispaa ya Morogoro zilizofungiwa kutoa huduma za tiba na matibabu na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii , kama ilivyokutwa Desemba , 26 mwaka huubarabara ya Madaraka na Mdau John Nditi.
Home
Unlabelled
wizara ya afya yafunga vituo binafsi vya afya morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...