Katika kuukaribisha mwaka mpya ankal leo amechukua ofu na kwenda zake baharini kwa melikebu, akiambaa na pwani toka Slipway hadi Zenji. Wakati mwingine ilibidi ashike usukani
Ankal na mdau Jonathan wakipoza rejeta huku wakikata mawimbi
Siku moja moja ankal hushika maiki kwenye karaoke.
hapo anakupa kitu cha The Beatles cha 'ticket to ride'
Chombo alichomo ankal katika vekesheni ya mwaka mpya. Ina umri wa miaka 100 na inatumika kwa shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na minuso ya harusi na upigaji video za muziki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kumbe ankal ni miongoni mwa mafisaaadi.haya pesa za boti umezitoa wapi?

    ReplyDelete
  2. Abiola Jr. New Albany OhioJanuary 02, 2011

    Mmoja wa mafisadi watatu waliotajwa na Spika wa Bunge lililopita Mh. Sitta ni Ankal, hawa ndio wanaitafuna nchi hii mpaka wanasema "Hassan you will kill me with food"

    ReplyDelete
  3. anko nithupu sikuhisi hushabikii tena bwawa la maini,mbona kimya kimekuwa kingi kuhusu mwenendo wa bwawa,

    ReplyDelete
  4. ankal safi sana trip hiyo ni bomba. naamini akili itatulia hata ikiwa unadaiwa mamilion

    ReplyDelete
  5. ankali vekesheni gani pekeyako? auntie wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...