

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika mazungumzo na Balozi wa Falme za Kiarabu (UAE) hapa nchini Mh. Mallalla Mubarak al Amirer alipomtembelea ofisini Magogoni jijini Dar leo. Picha na mdau Chris Mfinanga.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona pinda anapata wageni kila kukicha !lol
ReplyDeletemdau paris
HUYU BAROZI NI TYPICAL AFRICAN. LABDA NDIO ZILE NYAKATI WALIZOKUA WANATUPELEKA HUKO. NA MPAKA SASA MBEGU YETU YA AFRICAN INAENDELEA NICE BAROZI
ReplyDeletekumbe hata arabuni kuna weusi (waarabu weusi) jamaa husema waamerika tuu na kuwa watumwa wa uarabuni waliuwawa kwa sababu ya ukatili wa dini. Uongo mkubwa, mnasaidia dini yenu?
ReplyDelete