LILE BONANZA LA SANAA LA KILA JUMAMOSI LILILOZINDULKIWA WIKI ILIYOPITA LINAENDELEA TENA LEO KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB KINONDONI JIJINI DAR, AMBAPO BENDI TAKRIBAN 10 ZA MUZIKI ZITAUMBUIZA, KIINGILIO IKIWA NI BURE.

KWA MUJIBU WA MRATIBU WA BONANZA HILO LA AINA YAKE, PAPAA JUMA MBIZO, MGENI RASMI WA LEO ATAKUWA MH JOHN KOMBA, MBUNGE WA

MBIZO KAUAMBIA MTANDAO HUU KWAMBA BONANZA HILO LA SANAA LINASHIRIKISHA KILA AINA YA WASANII, IWE WA NGOMA, DANSI, BONGO FLAVA, SARAKASI, KWAYA NA SANAA NYINGINE KIBAO.

PAMOJA NA SANAA KUNAKUWA NA MICHEZO MBALIMBALI IKIWA NI PAMOJA NA MPIRA WA MIGUU, NETBALL NA BASKETBALL. MICHEZO INAANZA ASUBUHI HII SAA 3 WAKATI MUZIKI UNAANZA SAA NANE MCHANA, AMESEMA MBIZO HUKU AKIMKARIBISHA KILA MKAZI WA DAR NA JIRANI KUHUDHURIA KWANI KIINGILIO NI MGUU WAKO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...