
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa walimu na wahitimu wa mahafali ya tano ya Chuo kikuu cha Elimu cha Zanzibar,kiliopo Chukwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar leo,(wa kwanza kushoto) ni Makamo Mkuu wa Chuo cha Kimataifa cha Afrika kutoka Sudan,Profesa Mahd Satti na katikati Dk Abdulrahman Al Muhala,Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Chuo hicho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na walimu na wahitimu wa Mahfali ya tano ya Chuo Kikuu cha Elimu cha Zanzibar,ambacho kiko chini ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika cha Khartoum,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad na Mkuu wa Chuo kikuu cha Elimu cha Zanzibar,Chukwani, Izzildia A.Mayzoub,mahfali hayo yalifanyika leo katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Elimu cha Zanzibar,Chukwani Izzildia A.Mayzoub,mara alipowsili chuoni hapo katika mahafali ya tano ya chuo hicho,(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ramadhan Abdalla Shaaban.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na walimu wa chuo kikuu cha Elimu cha Zanzibar,kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika cha Khartoum wakati wa mahfali ya tano chuoni hapo leo,huko Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Miongoni mwa wahitimu 177 waliotunukiwa Digrii zao kwenye mahfali ya tano ya Chuo kikuu cha Elimu cha Zanzibar,Chukwani,katika fani mbali mbali ikiwemo za sayansi,sayansi jamii na kiarabu,yaliyofanyika leo chuoni hapo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akifuatan na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Elimu cha Zanzibar Dk Abdulrahman Al Mahala na Mkuu wa Chuo hicho Azzildia A.Mayzoub,wakati wa mahafali ya tano chuoni hapo jeo,huko chukwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi Makame Khamis Makame,wakati wa kuwazawadia wanafunzi bora katika mahfali ya tano ya Chuo kikuu cha Elimu cha Zanzibar,yaliyofanika leo,Chukwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...