Mwakilishi wa tuzo za Filamucentral,Myovela Mfwaiza akizungumza mbele ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi iliyofanyika leo mchana kwenye hotel ya Tamal,Mwenge jijini Dar.Pichani nyuma ni Steven Kanumba.
Mmoja wa Waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini,Steven Kanumba akitoa shukurani kwa waandaaji wa tukio hilo mara baada ya kukabisdhiwa tuzo zake.Kanumba ameibuka na tuzo ya Muigizaji bora wa Filamu pamoja na Mtayarishaji bora filamu 2010.
Mgeni rasmi,ambaye pia ni Mkurugenzi ZIFF,Prof Martin Mhando akimkabidhi tuzo yake Jenifer Daudi ya Muigizaji bora chipukizi wa filamu 2010,Jenifer ameibuka na tuzo hiyo mara baada ya kuonyesha umahiri mkubwa katika uigizaji kupitia filamu ya This is it pamoja na Uncle JJ za Kanumba.Hafla hii imefanyika mapema leo mchana ndani ya hotel ya Tamal,Mwenge jijini Dar.kwa picha zaidi ya tukio hili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hizo nywele mh, badilikeni muwe watanashati bila makorokoro majuu kwenyewe wameritaya bongo ndo kumekucha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...