Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Aisee Mr Mwampembwa jaribu kuandika hizi cartoons kwa kiswahili ili wengi wajirushe!

    ReplyDelete
  2. Jamani nimecheka mpaka basi hawa viongozi wa bara la Africa sijui wanamatatizo gani? kwa ufikiro wao na mitazamo yao wa kungànga`nia madalaka. wanaleta migongano na machafuko ya kisiasa. Na wewe anaon wa hapo juu, hii english iliondikwa hapa ina ugumu gani kiasi kwamba mtanzania akashindwa kuelewa lugha iliyoandikwa hapo, lazima tujue na kujifunza lugha zingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...