Liverpool clung on for a gritty victory against Fulham as they moved up to seventh in the Premier League.
The Reds went ahead on 52 minutes when a Fernando Torres strike was deflected against the post and John Pantsil sliced a clearance into his own net.
Fulham belatedly came out of their shell and had a Brede Hangeland header cleared off the goal-line.
And a point-blank save late on by Reds keeper Pepe Reina from Moussa Dembele helped secure victory for Liverpool. Kwa habari kamili tembelea BBC Sport
Bwawa la maini oyeee!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAma kweli kipofu ameona mwezi.Yaani huu ushabiki wa namna hii unaniacha hoi.Wakati watu walipokuwa wamezama kwenye bwawa la tope; hata 4WD ikagoma kukwamua matairi tulikuwa hatuoni habari za hii club hapa.Mechi ya pili tu na ushindi mwembamba;tayari picha zimeanza kumiminika.Poleni adau;inabidi muwe na timu hata inapofanya vibaya.Timu ikikwama kwa BWAWA LA TOPE msiikimbie
ReplyDeleteHA HA HA HA! MBAVU SINA! Ama kweli kipofu ameona mwezi.Yaani huu ushabiki wa namna hii unaniacha hoi.Wakati watu walipokuwa wamezama kwenye bwawa la tope; hata 4WD ikagoma kukwamua matairi tulikuwa hatuoni habari za hii club hapa.Mechi ya pili tu na ushindi mwembamba;tayari picha zimeanza kumiminika.Poleni wadau;inabidi muwe na timu hata inapofanya vibaya.Timu ikikwama kwa BWAWA LA TOPE msiikimbie.
ReplyDeleteMdau, Little P
from where?......
ReplyDeleteBado kidogo tu mtachukua ubigwa!! Bwawani oyeeeeee
ReplyDeletewachofu
ReplyDelete...Ndio tumeanza ligi hivyo mjiandae huko juu,Dalglish anakuja
ReplyDeleteAngalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu
ReplyDelete