Ahmad Michuzi Jnr leo anasherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa akisisitiza ni vyema kumshukuru Mungu kwa kila jambo atendalo kwetu sisi waja wake, kwa maana yeye ndiye mwingi wa rehema siku zote katika maisha yetu. Globu ya Jamii inampa hongera kwa kuzaliwa leo na kumtakia maisha mema yeye na familia yake huku akiendelea libeneke katika kijiwe chake cha Jiachie ambacho anakukaribisha mdau yeyote popote ulipo.BOFYA HAPA


Nakutakia Mwaka wenye mafanikio sana na Mungu akubariki. Mimi nafurahia sera za blog yako na misimamo huru isiyovutia upande wowote. Ninaomba blog yako ya JIACHIE izidi kupata umaarufu.
ReplyDeleteMdau, USA
Happy Birthday dear brother wa libeneke. Me and my family tunakutakia maisha marefu yenye mafanikio na afya tele. Tunamwomba Mwenyezi Mungu akulinde na kukuepusha na mabaya yote uingiapo na utokapo.
ReplyDeleteTunakutakia mwaka wenye kheri na utuletee habari zaidi katika picha za sehemu mbalimbali nchini kwetu. Kwa kweli umetufanya tuione dunia kuwa ndogo kwani Tanzania yote tunaiona kwenye screen! Unafanya kazi nzuri sana na tunakushukuru kwa hilo.
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
MDAU WA DAMU USA
Happy birthday Brother
ReplyDelete