Kaka Issa,
Mambo vipi? habari ya kazi pole na majukumu ya kilasiku ni mdau hapa wa blog ya jamii naitwa Martin Jonas, Tafadhani mkuu nimezaliwa leo tar 13 me ni pacha na Ahmad kupitia blog ya jamii naomba niwakumbushe ndugu na jamaa.
Aksante,
Martin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HAPPY B.DAY KAKA MARTIN MWENYEZI MUNGU AKUWEKE HAI MAIKA ZAIDI YA 100. UWE NA AMANI KATIKA MAISHA YAKO YOTE. UFANIKIWE KATIKA MALENGO YAKO.

    DADAKO IRENE (SYSTEMS 2000 LTD)

    ReplyDelete
  2. Martin JonasJanuary 14, 2011

    Thx a loy my dada may God bless you and your family

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...