JK akimpa zawadi Waziri Mkuu mstaafu Mh. Cleopa Msuya kwenye hafla ya hepi besdei ya kutimiza miaka 80 kwa kiongozi huyo wa zamani iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar. JK alimsifu sana Mzee Msuya kwa kuleta mabadiliko ya uchumi wa nchi yetu alipokuwa waziri mkuu kuanzia kati hadi mwisho wa miaka ya 80 wakati nchi ikiingia kwenye mfumo wa biashara huria
Mzee Msuya akikata keki ya kusherehekea hepi
besdei ya kuzaliwa kwake akiwa kazungukwa na watoto na wajukuu zake
JK, Mama Salma Kikwete na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi na Mama Sitti Mwinyi akipozi na Mzee Msuya na watoto na wajukuu. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wonder where Mh Msuya got the funds to host this party at Golden Tulip??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...