Marehem Hassan Jumanne Makunja
Amezaliwa 4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010

Familia ya J.s.Makunja na Bi.Moza Mpili Inawatarifu ndugu,Jamaa na marafiki wote kuwa Shughuli ya hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja itafanyika tarehe 29.01.2011 kuamkia 30.01.2011 huko mjini utete/Rufijikwa mama wa marehemu.

Taarifa zaidi wasiliana namba hizi
0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja
0784617961 Bi.Zaituni Hamisi
082249496 Saleh Makunja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...