Marehemu Jaji Dan Perto Mapigano enzi za uhai wake.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Dan Petro Mapigano nyumbani kwake Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Marehemu Dan atazikwa leo jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akitoa mkono wa pole kwa Mjane mke wa Marehemu Dan, Florence Mapigano, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam leo mchana.

Poleni familia ya Mapigano. R.I.P.
ReplyDeleteJina ni Dan Petro Mapigano!
ReplyDeletepoleni sana ndugu zangu , mwenyezi mungu hailaze mahala pema peponi
ReplyDeleteroho ya marehemu...
pole ndugu wa familia,pole sana Maiga.jaji alikuwa akiishi mt shaaban robert(ilipo sasa TIC),Maiga alikuwa anavuka barabara tu kuja shule Bunge primary.
ReplyDeleteNatoa pole na kuomba Mola awafariji Familia na Jamaa wote wa marehemu Jaji Mapigano (RIP)
ReplyDelete