Baadhi ya wanafunzi wanaounda umoja wa TASAA (Tanzanian Students Association of Acharya) wakiwa wamemtembelea mtoto aliefanyiwa upasuaji wa moyo katika hospitali ya Apollo,Bangalore.
Wajumuiya wakikata keki ya kukaribisha mwaka mpya wa 2011 pamoja na watoto waliopo katika hospitali ya Apollo,Bangalore.
Baadhi ya wanafunzi wanaounda umoja wa TASAA (Tanzanian Students Association of Acharya) wakiwa pamoja na mmoja wa wagonjwa wa moyo aliopo katika hopitali ya Apollo,Bangalore nchini India wapotembelea kuwafariji wagonjwa hao.
picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. katika mambo yote ya muhimu ambayo mmefanya tokea muanze kuuza sura kwa hili nawapongeza sana mmefanya kitu ambacho hao wagonjwa hawatakuja kuwasahau maisha yao yote. Hongera kwa mtoa wazo

    ReplyDelete
  2. Safi sana, nimeipenda hii.. Upendo ni kitu kikubwa sana. MUNGU awazidishie.

    ReplyDelete
  3. Hii ndo haswa tunataka kuona wanafunzi tulioko huku, sio vijeba vya bangalore wanajifanya kwenda part kujionyesha wanaushirikiano kumbe majungu tupu...dinner kuukaribisha mwaka???? nendeni mkawafariji wagonjwa au kushare na wasokuwa na uwezo japo ni wahindi si watanzania..hiyo 500 rupees unayotumia dinner inaweza save nearly 10 ombaomba families in Bangalore .... big up vijana wa Archarya..nitawatembelea very soon.
    Mdau India.

    ReplyDelete
  4. Hii hapa ndio maendeleo. Siyo kuona picha za "mnuso" mana kwa mara. Mnawakilisha salama... hii hata mzazi akiona ni rahisi kumshirikisha rafiki yake. Siyo picha ya ndugu zetu wengine wakiwa wamevaa nguo zisizo kuwa na heshima. Mzazi akiona fujo tu.. anaumia moyoni hamna kumshirikisha mtu... eti njoo uone picha ya mwanangu... sahau

    ReplyDelete
  5. I like this....Hongera sana aliyewapa hilo wazo..

    ReplyDelete
  6. Brothers & Sisters Big up..... Tulizoea kuwaona mkiwa uchi bt kwa hili MUNGU awabaliki hata katika masomo yenu.... hii sio kwa mtoa wazo 2 ni kwa participants...... keep it up....

    ReplyDelete
  7. vijana hongereni sana,mmechangia kwa kiasi kikubwa kwenye matibabu, moyo ukiwa na furaha ni rahisi sana kutibiwa.mtoto kumuona dada au kaka yake ambaye hakutegemea kumuona alifurahi sana na hatakaa asahau maisha mwake,Mungu awabariki muwe na moyo huo huo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...