
KIKOSI CHA TIMU YA KIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE TEAM A KIKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUCHEZA MOJA YA MCHEZO WA KIRAFIKI UWANJA WA UHURU,DAR ES SALAAM.
UONGOZI WAKIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE YA KIJITONYAMA, DAR ES SALAAM, UNAYO FURAHA KUWAKARIBISHA WADAU WETU POPOTE MLIPO KUJA KUIPA TIMU PEKEE TOKA KIJITONYAMA SUPPORT ILI IWEZE KULETA HESHIMA KWA WAPENDA SOKA KWANI KWA MASHINDANO HAYA YALIVYO NI KCSC NDIO TIMU PEKEE YENYE WACHEZAJI WADOGO NA WASIOBADILIKA KAMA TIMU ZINGINE ZINAVYOFANYA ISIPOKUWA KWA SIMBA B,YANGA B NA AZAM B ILIYOJITOA DAKIKA ZA MWISHO KWA AJILI YA KOMBE LA UHAI.
BY CHRIS FIDELIS
KATIBU MKUU MSAIDIZI-KCSC

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...