Hi Ankal!
Naishi Finland nami ninakablog kangu nimeanzisha kwa ajili ya kusaidia watanzania kupata nafasi za kusoma hususani hapa Finland. Naomba wadau wa Globu ya Jamii wapitie na kufanya kweli. Jina na anuani la blog hiyo ni:
http://www.osimaed.com/
Mdau Helsinki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...