Je umepata kuisikia Radio Kilimanjaro inayorusha matangazo yake kupitia mtandaoni huko Scotland? Kama bado basi wala usikonde wala nini. Wadau huko wanachakarika ile mbaya kutuletea matangazo mbalimbali kwa Kimatumbi na Kiinglishi. Ili kuwasikiliza....BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...