Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Serikali ya Burundi Mhe. Hafsa Mosi wakati Waziri huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kumkabidhi Ujumbe Maalum wa Rais Jakaya Kikwete kutoka kwa Rais Piyer Nkurunziza wa Burundi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naona kama vile wamechanganya viti vyakukaa.... mkubwa anaonekana mdogo na mdogo anaonekana mkubwa.... mgeni anaonekana mwenyeji na mwenyeji anaonekana mgeni. Au nimeona mimi tu hilo swala???

    ReplyDelete
  2. @jan 27,02:47 pm
    tulia wewe mzee aimbishe.

    ReplyDelete
  3. Anony namba 1, Hacha maneno yako kwamba wewe unajua sana kuliko wakuu wa Itifaki acha maneno yako hayo hapo wapo sawa au umezoea kuona kila siku mwenyeji anakaa pale hacha maneno yako wapo sawa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...