mtaalamu wa habari wa VODACOM Matina Nkurlu akiangalia taswira zenye ukubwa halisi (life size) za matukio mbalimbali ya michezo wanayodhamini, kwenye makao makuu mapya ya kampuni hio ya simu Mlimani City jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mdau,

    Mi nafarijika sana haya maofisi kuhama sasa kutoka Posta na kujitanua maeneo mengine ya mji mana tulishachoka kila Ofisi Posta ndo mana mafoleni yalikuwa hayaishi. Hivi ndivyo wenzetu wanavyotanua miji yao. Big Up Vodacom na Makampuni mengine yanaweza kwenda Yombo vituka, Mbagala na Kiluvya

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa wengine Waende Mbagala tugawane foleni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...