Ankal Michuzi! Heri ya Mwaka mpya!
Wakumbushe wadau matunda haya ambayo yanapatikana zaidi Zenj.
Hili ni Doriyani, tunda maarufu ila harufu na ladha yake mmmhhhh...yataka mazoea.
Doriyani likiwa limekatwa
Kungu hutumika kama 'kitolea nishai' na matumizi yake yanabadilika na kuboreshwa kila kukicha. Wengine hupikia uji, kashata na hata kukausha na kulichoma kisha kutumia jivu lake kama wanja maalum wa 'kulegeza macho'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nipe recipe ya huo wanja nipate kumrembulia shemegi yako, lol!
    lakini hala hala usijentoa chongo!

    ReplyDelete
  2. Keli hili tunda kila siku nimekua nikijiuliza jina lake. Niliona kwenye discovery channel walionyesha delicately food wakalionyesha hili...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...