Home
Unlabelled
mchakato wa kuwa na sarafu moja afrika mashariki waanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nchi za EUROPA zinazotumia sarafu ya EURO wanajuta kuwa na sarafu moja, si Tanzania 'tunataka' sarafu moja ya AFRIKA-MASHARIKI?
ReplyDeleteSije Tanzania ikawa kama Republic of Ireland, Greece n.k, nadhani huu mchakato wa sarafu moja Afrika mashariki unahitaji kujumuisha wadau wengi ambao siyo wanasiasa au watendaji serikali ili kuweza kupata maoni 'halisi' ya Mtanzania atafaidika vipi.
Acheni kupoteza hela za walipa kodi kwa kuanzisha project ambazo haziwezekani,economic and market imbalance ni kigezo tosha kuwa haiwezekani,angalieni mfano wa effect ya euro katika european union countries na pia tafuta jawabu la kwanini england bado inasuasua kutumia euro,then ndio muanze kuleta hizo topic
ReplyDeletemdau istanbul
Hata mimi naunga mkono maoni ya wadau hapo juu. Kwanza hiyo sarafu itatusaidia nini? ndo itaondoa umasikini? au kuleta machafuko kwanza mambo ya East Africa watu wengi hawataki mlifanya kulazimisha tena mlipounganisha Rwanda na Burundi ndo mlialibi kabisaa make hizo nchi mbili azifai kwa sababu ya ukabila wao. Mimi binafsi siitaji siona maana yake zaidi ya watu wachache tu kujineemesha na East Africa. Mfano bei ya kahawa Uganda iko juu lakini Tanzania tunaambiwa imeshuka na ndo maana wakulima hasa wamipakani kama Karagwe wanawauzia wafanyabiashara wa uganda sasa sarafu ndo itasaidia nini au ni mradi wa watu fulani kujineemesha.
ReplyDeletemdau
Haya mambo ya EA naona tunaburuzana tu, hivi ni vitu gani ambavyo tutaletewa wananchi tupige kura ya maoni? EA wanaamua wanasiasa, dual citizenship wanaamua wanasiasa sasa lini watanzania tutapewa nafasi ya kuamua mambo mazito yatakayobadilisha mipaka yetu, uraia wetu, mifumo yetu ya kifedha na kisiasa?
ReplyDelete