Ndugu Risasi Mwaulanga Balozi wa Amani wa Chama cha Universal Peace Federation na kulia ni Nangasu Warema ni Mwenyekiti wa Amani Foundation isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Amani Demokrasia Tanzania wakizungumzia amani Tanzania bila ya kutofautiana kuendeleza amani iliyopo kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) leo jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. He, makubwa; Hilo jina tu linakosesha amani tayari. RISASI!!!

    ReplyDelete
  2. KAKA MICHUZI HABARI KAMNA HIZI UNGEKUWA UNAWEKA WALAU PARA 2 AU 3 ZA NINI HASA ALICHOSEMA KULIKO KUTUWEKEA KA PICHA TU NA ANUANI YA ALICHOZUNGUMZA (MADA).

    ReplyDelete
  3. wauza sura hao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...