Mbunge wa Musoma mjini Mh. Vicent Nyerere akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa katika Hospitali ya Mkoa mjini Musoma leo.

Mh. Nyerere akimtakia hali mmoja wa wagonjwa hospitalini hapo
Mh Nyerere akiongea na baadhi ya wagonjwa
Sehemu ya shehena ya vitabu ambavyo mbunge wa
Musoma mjini ametoa kwa shule za sekondari mkoani humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. jamaa kafanana na marehemu mwalimu

    ReplyDelete
  2. Kafanana na mshua wake

    ReplyDelete
  3. |Washkaji mkoa wa Mara kiboko, wagonjwa wote wana majeraha, hakuna wagonjwa gennerela kama maralia ama kifaduro? Ama ndi wamegechwa?

    ReplyDelete
  4. Na hivi Bunge linakaribia kukaa kikao chake cha Feb basi lazima wengi sasa hivi utawaona wako busy majimboni.

    ReplyDelete
  5. Jamani mbona wagonjwa wote wana alama za mapanga?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...