Kaka Michuzi,
Salaam sana na heri ya mwaka mpya kwako na team yako.
Tafadhali naomba niulizie hili swali langu kupitia blog ya jamii labda nipata jibu la kueleweka.
Jamaa yangu anatafuta kiwanja cha kununua Tegeta au Boko. Kiwe na hati .Tafadhali wasiliana nami kwa barua pepe sophieyk@yahoo.com. kama wewe ni mwenye kiwanja, Dalali hapana.
Asante,Mdau
Asante,Mdau
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...