habari kaka Michuzi, pole na kazi na hongera kwa kutuhabarisha current Newzz hasa sisi tulio mbali na mgao wa umeme.
Kaka naomba unisaidie kupost ili wadau wanisaidie katika blog yetu ya jamii
Mimi ninahitaji kununua nyumba/ kiwanja, napendelea maeneo ya Ilala au kinondoni, nyumba au kiwanja hicho kiwe mahali panapofikika na gari na iwe na hati au offer (namaanisha iwe sehemu iliyopimwa kisheria) naomba mtu aliye serious na kufanya hio biashara aweke contact zake kwenye comment tuwasiliane zaidi au anitumie maelezo kupitia mnally@gmail.com
Asante

Sorry my Email is mnally7@gmail.com,..samahani kwa usumbufu
ReplyDeleteThe house is sold at Magomeni Mapipa, Kinondoni. I am one of the family members. You may reach me at mmngana@gmail.com for more info.
ReplyDeletewewe kama mnunuaji nenda mwenyewe bongo usitake watu wakutukane bure kwani hao wanaonunua lazime wataarifu dunia pesa zenyewe huna za mabox kutaka kushow off
ReplyDelete