Marehemu ni baba : Mubaruk mkazi wa Reading UK
Habari za msiba huu ziwafikie watanzania wote waishio Reading na sehemu zingine za UK na ndugu wote, jamaa na marafiki popote walipo.Mfiwa anatakiwa kusafiri na kama ilivyo desturi yetu ,basi fikisha mchango wako ili aweze kusafiri
TEL: +44 7867607112
ADDRESS: 2 Appleshaw Court , School Rd ,READING. RG31 5AL
Duu! Poleni sana... mzee, amina, khadija, mbarouk...
ReplyDelete