
Ibada Ya Shukrani Na Ukombozi
KARIBUNI
Efatha Ministry
1810 16th street NW Washington D.C
January 30th, 2011
4:30pm-6:30pm
Tujumuike kwenye ibada ya shukrani na ukombozi, Mtumishi Tonga Mushi alipona kutoka kwenye nguvu za mauti. Karibu upate ushuhuda jinsi Bwana alivyotenda. Chukua hatua ya kuhudhuria service hii jumapili tarehe January 30 2011 saa 4:30pm – 6:30pm, hutarudi kama ulivyo kuja. Zaburi 103:3 “Akusamehe maovu yako yote, akuponye magonjwa yako yote.”
Baada ya ibada tutakula dinner pamoja.
Asanteni
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...