Meneja Mkuu wa Resolution Health Afrika mashariki, Oscar Osir akimkabidhi msanii Peter Msechu zawadi ya bima ya afya kiwango cha Premier Plan kutona na mchezo alioshiriki wa Tusker Project Fame 4 mwishoni mwa mwaka jana. Hafra hii ilifanyika ofisi kuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam
Peter Msechu akiipongeza kampuni ya bima ya afya Resolution Health, kutokana na zawadi aliyopokea toka kampuni hiyo ya Bima ya Afya kiwango cha Premier Plan ambayo itadumu mwaka mzima wa 2011. Pembeni ni Meneja Mkuu wa kampuni, Bwana Oscar Osir, katika hafra iliyofanyika ofisi kuu ya kampuni, jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hiyo ni sawa, wakati mwingine pia tuone mnawapa hiyo bima watu ambao kweli ni wahitaji italeta maana kubwa sana na mchango mkubwa katika jamii. natamani kuona picha ya meneje akimkabidhi mwananchi wa huko vijijini tabaruka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...