Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitembela kituo cha kulelea watoto walio ktk mazingira magumu cha SOS kilichopo Sinza. Pembeni yake ni mkurugenzi wa kituo hicho Dkt. Alex Lengeju

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wadau naomba mnisaidie hili jambo silielewi vizuri, siku kama 9 hivi zimepita nlilisikia kuwa serikali nimetoa agizo watoto wote waliopo kweye nyumba za kulelea watoto(Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu) warudishwe makwao na wasaidie wakiwa huko je ni kweli??

    Madau DSM TZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...