Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima kuadhimisha miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan Stadium huko Unguja leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein(kulia) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakibadilishana mawazo jana wakati sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan Stadium mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein(kulia) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakiwa wamesimama kupokea maandamano ya wawakilishi wa wananchi kutoka mikoa mbalimbali za Zanzibar kwa ajili ya kusherekea ya miaka 47 ya Mapinduzi
Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba wakato wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Makamba-Katibu wa CCM Yusuph Makamba (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia)jana mjini Zanzibar wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanznibar
Waziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim (kushoto) na Fredrick Sumaye (katikati) wakibadilishana mawazo na Waziri Kiongozi Mstaafu Vuai Nahodha wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya mapinduzi ya Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...