Marehemu Hillary Mallya

Familia ya Marehemu Mzee Elisa George MALLYA wa Moshi, Maili Sita
wanasikitika kutangaza kifo cha Bwana Hillary Mallya kilichitokea
tarehe 8 Januari 2011, jijini Dar es Salaam.

Hillary alikuwa amefikia umri wa miaka 52, akiwa anaishi Dar es Salaam
pamoja na mke wake na watoto wao watatu.

Mazishi yamepangwa kufanyika tarehe 12 Januari, nyumbani kwa Marehemu
Hillary Mallya, Maili Sita, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa;
Jina la Bwana Lihimidiwe.
- Amina.

Kwa mawasiliano zaidi:
Bw. Albert Elisa Mallya
+255 78 476 0833

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwaheri Brother Hillary!

    May your Soul be Blessed to Rest in Eternal Peace.

    And may God also Bless your family with His strength and comfort, helping them through the grief of your physical absence while encouraging and inspiring them with the rememberance of many enjoyable moments shared with you.

    DS.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana wafiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...