Umati uliohudhuria mnuso wa African Stars band wa kusherehekea mwaka mpya na kuzindua video zao mbili wakiwa na Bozi Boziana toka Congo Kinshasa usiku huu katika kiota cha Mzalendo Pub jijini Dar
Mkurugenzi wa Twanga Pepeta Da'Asha Baraka akimkaribisha mgeni rasmi, Mbunge wa Kinondoni Mh. Iddi Azzan kwenye mnuso huo usiku huu
Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) group Baraka Msiilwa akizungumza machache
Mbunge wa Kinondoni Mh. Iddi Azzan
akiongea katika mnuso huo

Ankal alikuwa mmoja wa wafungua champeni
Mh Iddi Azzan akimlisha ndafu Bw. Baraka Msiilwa wakati Da'Asha Baraka akiendelea kukata minofu huku Mama Baraka (kulia) akiweka ndafu sawa
Kikiwa kimetimia, kikosi cha Twanga Pepeta kikitumbuiza vibao vipya na vya zamani. Toka kuume ni mpiga solo mahiri Adolph Mbinga 'Chinga Boy', Rogart Hegga 'Katapilla', Lwiza Mbuttu, Hamisi Amigoras. Janeth Isinika
Hapa kinapigwa 'Kisa cha Mpemba'
Lwiza Mbutu akiongoza mashambulizi
Lilian Internet (wa pili kulia) akiwa ametoka likizo ya uzazi anafungua dimba leo na wanenguaji wenzie
Super Nyamwela (wa pili kuume) akiongoza safu ya uchezaji ya kinakaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MMH NAOANA MAMBO YALIKUWA MAZITO HAPO MILLENIUM. HAYA TULIO NJE NDIYO HIVYO TENA TUTAISHIA FURAHA YA PICHA KWENYE MICHUZI BLOG.

    HONGERENI TWANGA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...