Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kushoto) akipeana mkono wa pongezi na Katibu Mkuu wa BASATA,Gonche Materego (pili kulia) mara baada ya uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2011 huku Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja na Mratibu wa tuzo hizo kutoka BASATA,Angelo Luhula wakifurahia uzinduzi huo uliofanyika usiku huu katika hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja akizungumza katika uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award's 2011 uliofanyika usiku huu katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika usiku huu katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Katibu Mkuu wa BASATA,Gonche Materego akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika usiku huu katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Muwakilishi wa Wasanii wa Music nchini,Luiza Mbuttu akizungumza kwa niaba ya wasanii wenzake wote.
Msanii wa muziki wa Bongo Freva,Marlow akifanya vitu vyake katika uzinduzi huo.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya,Mataluma akikamua usiku huu katika uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award's 2011 uliofanyika usiku huu katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
MC wa shughuli hiyo,Gardiner Habash akiwajibika ipasavyo katika uzinduzi huo.Ankal akiwa na Wadau wa TBL,Shoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja na kulia ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro,George Kavishe.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja akiwa na Mdau Ben Kisaka pamoja na Miss Tanzania 2010,Genevive Emmanuel katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Kilimanjaro Tanzania Music Award's 2011 uliofanyika usiku huu katika hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Wadau wa Filamu.
Wasanii wa Bongo Freva wakiimba wimbo wa pamoja unaohusu Kilimanjaro Tanzania Music Award's usiku huu.
Banana Zorro,C Pwaa na Dj Bon Lov.
Wadadazz.
Wadau mbali mbali walikuwepo katika hafla hiyo.

kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...