Makamu wa Rais Dr Mohamed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowasa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es sa salaam leo. Kati ni Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda. Wote walikuwa wanashiriki semina ya wa bunge wa CCM

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Waziri Mkuu Mstafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa wakiwa katika mazungumzo wakati wa mapumziko katika semina ya wabunge wa CCM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. alaaah na weye upo kwenye posho ya semina?
    ee bana niiachie tena!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...