Msanii Juma Nature akiwa na Kiongozi wa African Stars 'Twanga Pepeta' Lwiza Mbuttu mara tu baada ya mkutano wa waandishi wa habari na waandaji wa tamasha la Sauti Za Busara jijini Dar leo. Sir Nature atakuwepo Sauti za Busara kwa mara ya pili wakati Twanga watakuwa Zenji kwa mara ya kwanza kwenye tamasha hilo. Chini ni video ya Lwiza Mbuttu akiongelea mipango ya Twanga k.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Am inlov wiz zoz puaz mwaaaa!:o)

    ReplyDelete
  2. Lwiza umekua sasa, nadhani it is time run your own entreprise....you have worked with twanga for more than reasonable time

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa Anony Wed Jan 26, 02:46:00 PM 2011. Kama sikosei huu ni mwaka wa 11 Luiza yupo Twanga. Kwa uzoefu aliopata kipindi chote hicho nadhani atapata mafanikio makubwa akifuata nyayo za Lady Jay Dee na kuanzisha bendi yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...