Amina Mollel akielezea yale ambayo amejifunza nchini Nepal.
Anna Nkinda (katikati) akielezea yale ambayo amejifunza nchini Kenya.
Wanachama wa Tamwa pamoja na Mkurugenzi wa TAMWA mama Ananilea Nkya wa pili kushoto wakiwapongeza Amina Mollel wa Shirika la Habari la Utangazaji la Taifa (TBC 1) wa nne kushoto na Anna Nkinda wa Idara ya Habari Maelezo wa nne kulia baada ya kumaliza kozi yao ya kubadilishana kazi (Exchange Programme) kwenye Nchi za Kenya na Nepal wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye ofisi za Tamwa zilizoko Kijitonyama mjini Dar es Salaam leo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...