Ajali mbaya imetokea leo hii nchini Uswidibaada ya dereva wa taxi kukatiza kwenye njia ya train pindi gari moshi hilo lilipokuwakwenye mwendo mdundo.

Ni agharabu kwa huku kutokea ajali kama hii kwani kuna ishara zinayoonyesha kwamba kuna gari moshi linakuja na kiashiria huziba njia. Sasa haikujulikana kama kiashiria kiliharibika au dereva aliongeza manjonjo yake na kula mzinga.

Ajali kama hizi uwa zinatokea mara kwa mara kule kwetu hususani Tandika via Yombo Dovya na kwengineko. Je, wadua, Nini kifanyike lau kujaribu kupunguza ajali zembe kama hizi?

Na Mdau wa Iceland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni agharabu ukiwa unamaanisha ni mara chache? Rudi shule ukasome kiswahili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...