Mpira umeisha punde na Yanga na Dedebit ya Ethiopia wamnetoka droo ya 4-4 katika mechi ya Kombe la Shirikisho uwanja wa Taifa jijini Dar jioni hii.

Simba wako mjini Moroni, Comoro, kucheza na Elan Club de Mitsoudje ya huko. Matokeo ni kwamba Simba na Elan Club wametoka sare ya 0-0 na mpira umeisha punde.

Huko Zenji nako moto unawaka Uwanja wa Amaan leo ambapo KMKM imemkaribisha DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) katika mchezo wa Kombe la Shirikisho. Matokeo tunasubiria...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...