





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bendera yetu imegeuzwa kichwa chini miguu juu. Cha ajabu Watanzania wengi hawajui bendera yetu inatakiwa ikaaje.
ReplyDeletePole sana mama Rahma, Naona watu wakampuni yako hawakujipanga kama ipasavyo! Tanzania ni moja ya nchi Masikini duniani. Kwa hiyo kiingilio kikiwa cha juu, wataingia wapenzi wachache. Naona kamati ya maandalizi,haikujifunza siku Timu ya Taifa ya Brazil ilipokuwa nchini. Ushauli wa bure ni kwamba, siku nyingine mpange bei kama ifuatavyo:-
ReplyDeleteTsh 30,000 Watu wa Khali ya juu kama Mawazili, Wadosi, Waarabu n.k
Tsh 25,000/- wafanyakazi wa kawaida, kama wale wa vodacom na Tigo, 20000/-Waalimu na Wafanya biashara kama wamiliki wa daladala, 15,000/-madereva wa daladala na walimu wa shule za msingi, 10,000/- wanafunzi wa vyuo vikuu, kama UDSM,IFM,na CBE 5000/- Wauza mitumba wote $1000/- watu wasio na ajili woteeee, Dar es Salaam wamejazana sana! Kwa kufanya hinyo mngepata motisha ya kuleta timu nyingine Tanzania na Uwanja ungefulika.
bendera yetu ilivyo shwika , na wananchi ndivyo walivyo shikwa sasa hivi. ndo nchi ilivyo , so awajakosea !
ReplyDeletemdau Paris
Hii issue ya bendera kugeuzwa kidiplomasia huwa ina maana mbaya.. kuwa nchi iko katika matatizo au aliyeishika hivyo anaonesha kuasi au kupinga jambo fulani kwa nchi hiyo.. mbaya zaidi imeshikwa na wageni..naomba aidha uitoe hii picha hapa na ikibidi umueleze mama Kharous na watu wa TFF kosa hili ili wasirudie tena.
ReplyDeleteTafsiri hii Check katika wikipedia: "When a national flag, with some exceptions, is flown upside down it indicates distress...Further, a nation's flag is commonly flown inverted as a sign of protest or contempt against the country concerned..."
hii inaonyesha jinsi gani hatuma utamaduni wa kujua alama zetu za taifa. Tanzania zaidi ya uijuavyo. kazi kweli kweli!!!!!!!!!!1
ReplyDeletewell done Rahma
ReplyDeleteAlexander! Acha ubaguzi! Watu wenye mioyo ya korosho utawajua tu!
ReplyDelete