WADAU WA BLOGU YETU YA JAMII.
KUMEKUWA NA KELELE KWAMBA MIE NAINGILIA MAMBO YA MUZIKI. UKWELI NI KWAMBA MIE SIJARUKIA MZIKI. NIMEANZA ZAMANI ILA NILIKUA SIJITANGAZI KIMUZIKI NILIKUA NAJITANGAZA KI MPIRA KWA SABABU NI DAMU YANGU MIE KAMA NINGESHOBOKEA MPIRA TU SAA HIZI NINGIKUA NA LIMA NDIZI NA KAHAWA.
HII PICHA NI WAKATI TULIKUA NA JAMES MTOTO WA DANDU NA MBILIA BELL NA ALEX KAJUMULO WAKATI WA KUTENGENEZA NYIMBO YA BABUKAJU. MNAWEZA KUSIKILIZA HIYO NYIMBO HAPA.NYIMBO INAITWA AFRICA MELODY NYIMBO ZOTE ZINAPATIKANA ITUNE/AMAZON/ZUNE/CDBABY/ KWA HABARI ZAIDI INGIA
WWW.BABUKAJU.COM
MKUMBUKE MTOTO WA DANDU COOL JAMES
WENU
ALEX KAJUMULO

USHAURI WA BURE KWA BABU KAJUMULO
ReplyDeleteBabu Kajumulo hii kazi unayorukia ni ngumu inahitaji udume na uchizi fulani na wewe kipaji cha uchizi huna,mie nakushauri kuwa siku deal ni kumtumikia Bwana Yesu,kwa nini usingesomea upadri,unaihitaji miaka kama 3 ya kusomea,harafu unafungua kanisa jina kwa Rev.Alex Kajumulo
ungepata Amani ya kichwa,kuliko hii biashara ya vichaa unayodandia
Duh babu Kaju umefulia. Nimetembelea hiyo webusaiti yako na sijaamini nilichokisoma eti Unatetea Usenge na Usagaji Afrika?
ReplyDeleteFuata ushauri wa huyo mdau wa kwanza, imba gospo kama unataka kutoka kimuziki.
Hivi wanakutaka ukaibe? Mpira umekushinda sasa wanataka usijaribu kazi unayoweza iliwewe na watoto wako msiende choo? Iwe! watu wabaya sana.Hata music ukikushinda jaribu hata KUCHEKESHA WATU KAKA,nayo ni kazi pia!
ReplyDelete